# Mtu mvivu husema , "kuna simba ....katikati ya njia kuu!" Mtu mvivu hulala na husema kwamb hawezi kwenda nje na kufanya kazi kwa sababu kuna simba njiani au katikati ya njia kuu. # kuna simba njiani angalia 22:13 # bawaba vipande vya chuma ambavyo huubana mlango kwenye ubao au kitu kingine ili kuweza kufunguka na kufanga # Kama mlango unavyorudi kwenye bawaba zake, ndivy o alivyo mtu mvivu juu ya kitanda chake Mlango na mtu mvivu huzunguka lakini hawaendi popote.