sw_tn/pro/26/09.md

16 lines
410 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama mwiba ...ni methali katika kinywa cha wapumbavu
"mithali katika kinywa cha wapumbavu ni hatari kama mwiba kama unaochoma kwenye mkono wa mlevi"
# mwiba ambao unaenda kwenye mkono wa mlevi
kama mtu mlevi anashikilia kichaka chenye miiba, mwiba utamchoma mkononi mwake
# katika kinywa cha wapumbavu
"katika kauli ya wapumbavu" au "amba hunena wapumbavu"
# amwajiriye mpumbavu
"kumpa kazi mpumbavu"