# kama mwiba ...ni methali katika kinywa cha wapumbavu "mithali katika kinywa cha wapumbavu ni hatari kama mwiba kama unaochoma kwenye mkono wa mlevi" # mwiba ambao unaenda kwenye mkono wa mlevi kama mtu mlevi anashikilia kichaka chenye miiba, mwiba utamchoma mkononi mwake # katika kinywa cha wapumbavu "katika kauli ya wapumbavu" au "amba hunena wapumbavu" # amwajiriye mpumbavu "kumpa kazi mpumbavu"