sw_tn/pro/26/01.md

16 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama theluji wakati wa joto au mvua kwenye mavuno
"kama ambavyo ingekuwa ni ajabu kuwa na theluji wakati wa joto na mvua kipindi cha mavuno "
# hivyo laana isiyositahili haishuki
laana ambayo haimdhuru mtu imeongelewa kana kwamba ni ndege ambaye hatui."laana isiyositahili haitui mahali pake"
# laana isiyositahili
"laana kwa mtu ambaye haimstahili"
# shuka
tuajuu ya mtu au kitu