# Kama theluji wakati wa joto au mvua kwenye mavuno "kama ambavyo ingekuwa ni ajabu kuwa na theluji wakati wa joto na mvua kipindi cha mavuno " # hivyo laana isiyositahili haishuki laana ambayo haimdhuru mtu imeongelewa kana kwamba ni ndege ambaye hatui."laana isiyositahili haitui mahali pake" # laana isiyositahili "laana kwa mtu ambaye haimstahili" # shuka tuajuu ya mtu au kitu