sw_tn/pro/24/24.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yeyote asemaye kwa mtu mwovu ...atalaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa
"watu watamlaani yeyote anayemwambia mtu mwovu ...,na watu wa mataifa mengine watamchukia"
# mtu mwovu ...mtu mwenye haki
1)watu hawatamwita mtu yeyote mwovu kuwa ni mwenye haki au 2) hakuna mtu atakayesema mtu mwenye hatia ya kosa ni mwenye haki
# watapata furaha
"watafurahi sana"
# zawadi za wema zitawajia
"watu watawapa zawadi nzuri"
# zawadi za wema
"baraka" au "vitu vizuri"