# Yeyote asemaye kwa mtu mwovu ...atalaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa "watu watamlaani yeyote anayemwambia mtu mwovu ...,na watu wa mataifa mengine watamchukia" # mtu mwovu ...mtu mwenye haki 1)watu hawatamwita mtu yeyote mwovu kuwa ni mwenye haki au 2) hakuna mtu atakayesema mtu mwenye hatia ya kosa ni mwenye haki # watapata furaha "watafurahi sana" # zawadi za wema zitawajia "watu watawapa zawadi nzuri" # zawadi za wema "baraka" au "vitu vizuri"