sw_tn/pro/24/15.md

28 lines
369 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# usivizie
"kujificha na kusubiri muda utimie"
# nyumba yake
nyumba ya mtu mwenye haki
# huinuka
"kusimama tena"
# watu waovu huangushwa kwa maafa
"Mungu atatumia maafa kuwaangusha watu waovu"
# huangushwa
kuangushwa
# maafa
wakati ambapo mambo mabaya hutokea kwa watu na mali zao