# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # usivizie "kujificha na kusubiri muda utimie" # nyumba yake nyumba ya mtu mwenye haki # huinuka "kusimama tena" # watu waovu huangushwa kwa maafa "Mungu atatumia maafa kuwaangusha watu waovu" # huangushwa kuangushwa # maafa wakati ambapo mambo mabaya hutokea kwa watu na mali zao