sw_tn/pro/24/05.md

24 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# shujaa wa hekima
"shujaa mwenye busara"
# mtu mwenye maarifa huongeza nguvu zake
"mtu anayejua mambo mengi ni imara kwa sababu anavijua vitu hivi"
# kwa uongozi wa busara
"kama unawatu wenye busara wakikuelekeza jambo la kufanya"
# kupigana
"pambana"
# washauri
wale ambao huwaambia maafisa wa serikali mambo ya kufanya