# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # shujaa wa hekima "shujaa mwenye busara" # mtu mwenye maarifa huongeza nguvu zake "mtu anayejua mambo mengi ni imara kwa sababu anavijua vitu hivi" # kwa uongozi wa busara "kama unawatu wenye busara wakikuelekeza jambo la kufanya" # kupigana "pambana" # washauri wale ambao huwaambia maafisa wa serikali mambo ya kufanya