sw_tn/pro/23/34.md

20 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# anayelala juu ya mlingoti
"anayelala juu kwenye ndoo karibu namlingoti"
# mlingoti
ufito wa mbao mrefu ambao huwekwe kwenye meli wakati wa safari ya majini
# walimpiga ...lakini hakuumia. walinipiga, wala siku hisi kitu
Kwa sababu mtu mlevi hafikirii vizuri, anadhani kuwa watu wanampiga, lakini hasikii maumivu na wala hakumbuki chochote.
# nitaamka lini?
mtu mlevi anashangaa ni wakati gani atakuwa na busara tena, wakati madhara ya pombe yatakapoisha.