# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # anayelala juu ya mlingoti "anayelala juu kwenye ndoo karibu namlingoti" # mlingoti ufito wa mbao mrefu ambao huwekwe kwenye meli wakati wa safari ya majini # walimpiga ...lakini hakuumia. walinipiga, wala siku hisi kitu Kwa sababu mtu mlevi hafikirii vizuri, anadhani kuwa watu wanampiga, lakini hasikii maumivu na wala hakumbuki chochote. # nitaamka lini? mtu mlevi anashangaa ni wakati gani atakuwa na busara tena, wakati madhara ya pombe yatakapoisha.