sw_tn/pro/23/24.md

12 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# baba wa mtu mwenye haki atafurahi sana, na mwenye kumzaa mtoto mwenye busara atamfurahia
"baba wa mtu mwenye haki, mzazi wa mtoto mwenye busara, atashangilia sana na atamfurahia"
# atamfurahia
"atafurahia kwa ajili ya mtoto wake"