# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # baba wa mtu mwenye haki atafurahi sana, na mwenye kumzaa mtoto mwenye busara atamfurahia "baba wa mtu mwenye haki, mzazi wa mtoto mwenye busara, atashangilia sana na atamfurahia" # atamfurahia "atafurahia kwa ajili ya mtoto wake"