sw_tn/pro/22/26.md

12 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# wapigao mikono
ni kitendo cha kushikana mikono na kuweka agano la makubaliano. Wandishi anaonya juu ya kuweka ahadi ya kulipa deni la mtu.
# katika kufanya reheni
"kukubali kulipa kitu ambacho mtu mwingine anadaiwa"