# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # wapigao mikono ni kitendo cha kushikana mikono na kuweka agano la makubaliano. Wandishi anaonya juu ya kuweka ahadi ya kulipa deni la mtu. # katika kufanya reheni "kukubali kulipa kitu ambacho mtu mwingine anadaiwa"