sw_tn/pro/22/13.md

20 lines
321 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu mvivu husema
"hutoa visingizio ili asifanye kazi"
# kinywa cha malaya ni shimo refu
"maneno yasemwayo na malaya yatakuvuta, na utakuwa kama umeangukia kwenye refu na hatari"
# malaya
Angalia 5:3
# hasira ya Yahwe huchochewa
"Yahwe hukasirika"
# hudumbukia ndani yake
"hufanya dhambi kwa sababu ya malaya"