sw_tn/pro/21/25.md

16 lines
323 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# uchu wa mvivu humfisha
"mtu mvivu hutaka kukaa bila kazi, na kwa sababu hiyo atakufa" au mtu mvivu atakufa kwa sababu hataki kufanya kazi"
# mkono wake hugoma
"yeye hugoma"
# hutamani
"taka kitu kwa hamumno" au "kuwa na uchu sana"
# hutoa na wala hazuii
"hutoa kila kitu ambacho anapaswa" au "hutoa kwa ukarimu"