# uchu wa mvivu humfisha "mtu mvivu hutaka kukaa bila kazi, na kwa sababu hiyo atakufa" au mtu mvivu atakufa kwa sababu hataki kufanya kazi" # mkono wake hugoma "yeye hugoma" # hutamani "taka kitu kwa hamumno" au "kuwa na uchu sana" # hutoa na wala hazuii "hutoa kila kitu ambacho anapaswa" au "hutoa kwa ukarimu"