sw_tn/pro/21/23.md

16 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye mwenye kulinda kinywa chake na ulimi
"yeye ambaye ni mwangalifu katika maneno anayoyasema"
# mtu mwenye kiburi na majivuno...hutenda mambo kwa maringo na ufahari
"watu mwenye kiburi na majivuno hutenda mambo kwa marigo na ufahari"
# mwenye kiburi na majivuno
maneno haya yana maana moja kumaanisha jinsi mtu alivyo na kiburi
# dhihaka ndilo jina lake
"mwenye dhihaka anapaswa kuitwa "dhihaka"