# yeye mwenye kulinda kinywa chake na ulimi "yeye ambaye ni mwangalifu katika maneno anayoyasema" # mtu mwenye kiburi na majivuno...hutenda mambo kwa maringo na ufahari "watu mwenye kiburi na majivuno hutenda mambo kwa marigo na ufahari" # mwenye kiburi na majivuno maneno haya yana maana moja kumaanisha jinsi mtu alivyo na kiburi # dhihaka ndilo jina lake "mwenye dhihaka anapaswa kuitwa "dhihaka"