sw_tn/pro/21/13.md

12 lines
295 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# azibaye masikio yake kwenye kilio cha maskini
Hii ni nahau "ambaye hatasikiliza wakati watu maskini wanapoomba msaada"
# hatajibiwa
"hakuna atakayefanya jambo lolote kwa ajili ya kumsaidia"
# hutuliza hasira
"kumfanya mtu mwenye hasira ajisikie vizuri na asiendelee kuwa na hasira tena"