# azibaye masikio yake kwenye kilio cha maskini Hii ni nahau "ambaye hatasikiliza wakati watu maskini wanapoomba msaada" # hatajibiwa "hakuna atakayefanya jambo lolote kwa ajili ya kumsaidia" # hutuliza hasira "kumfanya mtu mwenye hasira ajisikie vizuri na asiendelee kuwa na hasira tena"