sw_tn/pro/21/07.md

20 lines
472 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vurugu ya waovu itawasukimia mbali;
Mungu atawaadhibu watu waovu ambao huwaumiza majirani zao wasio kwa sababu ya matendo ya vurugu wanayofanya
# vurugu ya waovu
"matendo ambayo waovu hutenda kwa ajili ya kuwaumiza majirani zao wasiokuwa na hatia"
# huwasukumia mbali
"kuwakamata na kuwalazimasha kuonekana mbele za Mungu ili aweze kuwahukumu"
# njia ya mtu mwenye hatia ni udanganyifu
"mtu mwenye hatia huishi katika njia ya udanganyifu"
# danganyifu
"mbaya"