# vurugu ya waovu itawasukimia mbali; Mungu atawaadhibu watu waovu ambao huwaumiza majirani zao wasio kwa sababu ya matendo ya vurugu wanayofanya # vurugu ya waovu "matendo ambayo waovu hutenda kwa ajili ya kuwaumiza majirani zao wasiokuwa na hatia" # huwasukumia mbali "kuwakamata na kuwalazimasha kuonekana mbele za Mungu ili aweze kuwahukumu" # njia ya mtu mwenye hatia ni udanganyifu "mtu mwenye hatia huishi katika njia ya udanganyifu" # danganyifu "mbaya"