sw_tn/pro/20/23.md

20 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe huchukia kipimo visivyo sawa na vipimo vya udhalimu si vizuri
tungo zote mbili zinahusika na jambo moja la kuonyesha "ubaya"
# hatua za mtu huogozwa na Yahwe
"Yahwe huongoza hatua za mtu"
# hatua za mtu
matendo ya mtu
# je kwahiyo anaweza kuifahamu njia yake?
"kwa hiyo mtu hawezi kuifahamu njia yake"
# kuifahamu njia yake
"kuifahamu kwa nini mambo kadhaa hutokea katika maisha yake"