# Yahwe huchukia kipimo visivyo sawa na vipimo vya udhalimu si vizuri tungo zote mbili zinahusika na jambo moja la kuonyesha "ubaya" # hatua za mtu huogozwa na Yahwe "Yahwe huongoza hatua za mtu" # hatua za mtu matendo ya mtu # je kwahiyo anaweza kuifahamu njia yake? "kwa hiyo mtu hawezi kuifahamu njia yake" # kuifahamu njia yake "kuifahamu kwa nini mambo kadhaa hutokea katika maisha yake"