sw_tn/pro/19/25.md

24 lines
295 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mpige mwenye dhihaka, na mtu mjinga
"ukimpiga mwenye dhihaka, mtu mjinga"
# mpige
"wadhibu"
# mtu mjinga
mtu asiye na uzoefu, au "mtu ambaye bado mchanga"
# busara
agalia 12:23
# mwadibishe mwenye ufahamu, na
"kama utamwadibisha yule mwenye ufahmu"
# atapata maarifa
"atajua zaidi"