# mpige mwenye dhihaka, na mtu mjinga "ukimpiga mwenye dhihaka, mtu mjinga" # mpige "wadhibu" # mtu mjinga mtu asiye na uzoefu, au "mtu ambaye bado mchanga" # busara agalia 12:23 # mwadibishe mwenye ufahamu, na "kama utamwadibisha yule mwenye ufahmu" # atapata maarifa "atajua zaidi"