sw_tn/pro/19/23.md

24 lines
613 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kumheshimu Yahwe huleta uzima kwa watu; kila mmoja wenye nayo atatosheka
"ambao wanamheshimu Yahwe wataishi muda mrefu; mwenye kumheshimu Yahwe atatoshelezwa"
# kila mmoja mwenye
"kila anayemheshimu Yahwe"
# ametosheka na hana madhara
"atatosheka; atakuwa salama"
# mvivu
angalia 10:26
# huzika mkono wake katika sinia
"huzamisha mkono wake kwenye sinia" au "huweka mkono wake kwenye sahani". katika utamaduni wa Biblia watu walitumia mikono kula kama watu wengine wanavyofanya hata leo
# hataurudisha tena juu kwenye kinywa chake
" lakini ni mvivu kuuleta mkono kwenye kinywa ili kula mwenyewe"