# Kumheshimu Yahwe huleta uzima kwa watu; kila mmoja wenye nayo atatosheka "ambao wanamheshimu Yahwe wataishi muda mrefu; mwenye kumheshimu Yahwe atatoshelezwa" # kila mmoja mwenye "kila anayemheshimu Yahwe" # ametosheka na hana madhara "atatosheka; atakuwa salama" # mvivu angalia 10:26 # huzika mkono wake katika sinia "huzamisha mkono wake kwenye sinia" au "huweka mkono wake kwenye sahani". katika utamaduni wa Biblia watu walitumia mikono kula kama watu wengine wanavyofanya hata leo # hataurudisha tena juu kwenye kinywa chake " lakini ni mvivu kuuleta mkono kwenye kinywa ili kula mwenyewe"