sw_tn/pro/19/17.md

20 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye ambaye ni mkarimu kwa maskini humkopesha Yahwe
"mtu ambaye hutoa kwa maskini hutoa kwa Yahwe"
# maskini
"watu fukara au watu maskini"
# wakati kuna matumaini
"wakati bado ni mdogo" au "wakati bado anaweza kufundishwa"
# na wala usitamani kumwua
""lakini usimwadhibu sana atakufa" au " kama hutamwadhibu utamwangamiza"
# usitamani
"kusudia kumweka"