# yeye ambaye ni mkarimu kwa maskini humkopesha Yahwe "mtu ambaye hutoa kwa maskini hutoa kwa Yahwe" # maskini "watu fukara au watu maskini" # wakati kuna matumaini "wakati bado ni mdogo" au "wakati bado anaweza kufundishwa" # na wala usitamani kumwua ""lakini usimwadhibu sana atakufa" au " kama hutamwadhibu utamwangamiza" # usitamani "kusudia kumweka"