sw_tn/pro/19/13.md

24 lines
431 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni uharibifu kwa baba yake
"atafanya uharibifu kwa baba yake"
# mke mgomvi ni maji ya kutona tona daima
"mke mgomvi anakera na kufadhaisha kama maji yenye kuvuja daima"
# mke mgomvi
"mke mbishi" au " mke asiye na makubaliano"
# Nyumba na ukwasi ni urithi kutoka kwa wazazi
"watoto hurithi nyumba na mali kutoka kwa wazazi"
# busara
angalia 12:23
# mke mwenye busara anatoka kwa Yahwe
"Yahwe hutoa mke mwenye busara"