# ni uharibifu kwa baba yake "atafanya uharibifu kwa baba yake" # mke mgomvi ni maji ya kutona tona daima "mke mgomvi anakera na kufadhaisha kama maji yenye kuvuja daima" # mke mgomvi "mke mbishi" au " mke asiye na makubaliano" # Nyumba na ukwasi ni urithi kutoka kwa wazazi "watoto hurithi nyumba na mali kutoka kwa wazazi" # busara angalia 12:23 # mke mwenye busara anatoka kwa Yahwe "Yahwe hutoa mke mwenye busara"