sw_tn/pro/18/09.md

28 lines
481 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mvivu katika kazi yake ni ndugu yake aliye mharibifu
" anafanana na"
# mvivu
"mzembe"
# aliye mharibifu zaidi
" mwenye kuharibu kila kitu" au "mwenye uharibifu daima"
# jina la Yahwe ni mnara imara
"Yahwe hulinda kama mnara imara" au "Yahwe huwalinda watu wake kama mnara ambao ni imara"
# jina la Yahwe
"Yahwe"
# wenye haki
"wale ambao hutenda mema" au "watu waadilifu"
# huikimbilia na kuwa salama
"hukimbilia kwake na wapo salama" au "wanamtafuta na wapo salama"