# mvivu katika kazi yake ni ndugu yake aliye mharibifu " anafanana na" # mvivu "mzembe" # aliye mharibifu zaidi " mwenye kuharibu kila kitu" au "mwenye uharibifu daima" # jina la Yahwe ni mnara imara "Yahwe hulinda kama mnara imara" au "Yahwe huwalinda watu wake kama mnara ambao ni imara" # jina la Yahwe "Yahwe" # wenye haki "wale ambao hutenda mema" au "watu waadilifu" # huikimbilia na kuwa salama "hukimbilia kwake na wapo salama" au "wanamtafuta na wapo salama"