sw_tn/pro/17/03.md

24 lines
496 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kalibuni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu
"karibuni hutumika kusafisha fedha na tanuru hutumika kusafisha dhahabu"
# Yahwe husafisha mioyo
Yahwe huwajaribu watu ili kuwasaidia kuacha ubaya na upumbavu...hivyo Yahwe husafisha kuondoa kila kitu ambacho si safi. "Yahwe huijaribu mioyo ya watu"
# mioyo
...mawazo na hamu za watu
# midomo miovu
"mtu mwovu" au "maongezi mabaya"
# hutega sikio
"husikiliza"
# ulimi wa uharibifu
"mtu mharibifu" au "maongezi ya uharibifu"