# Kalibuni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu "karibuni hutumika kusafisha fedha na tanuru hutumika kusafisha dhahabu" # Yahwe husafisha mioyo Yahwe huwajaribu watu ili kuwasaidia kuacha ubaya na upumbavu...hivyo Yahwe husafisha kuondoa kila kitu ambacho si safi. "Yahwe huijaribu mioyo ya watu" # mioyo ...mawazo na hamu za watu # midomo miovu "mtu mwovu" au "maongezi mabaya" # hutega sikio "husikiliza" # ulimi wa uharibifu "mtu mharibifu" au "maongezi ya uharibifu"