sw_tn/pro/16/27.md

20 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu asiyefaa huchimba madhara
"mtu asiyefaa hutafuta madhara kana kwamba anachimba kitu chini ya ardhi"
# asiyefaa
"mwovu"
# madhara
"ubaya" au "taabu"
# kauli yake ni kama moto unaounguza
"huumiza watu kwa maneno yake, kama moto unaounguza vitu"
# mmbeya
mtu ambaye husema uzushi au husambaza uvumi