# mtu asiyefaa huchimba madhara "mtu asiyefaa hutafuta madhara kana kwamba anachimba kitu chini ya ardhi" # asiyefaa "mwovu" # madhara "ubaya" au "taabu" # kauli yake ni kama moto unaounguza "huumiza watu kwa maneno yake, kama moto unaounguza vitu" # mmbeya mtu ambaye husema uzushi au husambaza uvumi