sw_tn/pro/16/09.md

24 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwenye moyo wake mtu hupanga njia yake
"mtu hupanga katika akili jambo atakalofanya"
# Yahwe huziongoza hatua zake
Yahwe huamua matokeo ya mipango ya mtu
# ushauri upo kwenye midomo ya mfalme
"kila anachosema mfalme ni ushauri"
# ushauri
uamuzi kutoka kwa Mungu, hukumu takatifu
# katika hukumu kinywa chake hakisemi uongo
"anapotamka hukumu, huwa hasemi uongo"
# kinywa chake hakisemi uongo
"husema kweli"