# kwenye moyo wake mtu hupanga njia yake "mtu hupanga katika akili jambo atakalofanya" # Yahwe huziongoza hatua zake Yahwe huamua matokeo ya mipango ya mtu # ushauri upo kwenye midomo ya mfalme "kila anachosema mfalme ni ushauri" # ushauri uamuzi kutoka kwa Mungu, hukumu takatifu # katika hukumu kinywa chake hakisemi uongo "anapotamka hukumu, huwa hasemi uongo" # kinywa chake hakisemi uongo "husema kweli"