sw_tn/pro/14/32.md

20 lines
321 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hushushwa chini kwa matendo yake mabaya
"matendo mabaya humsukuma" au " matendo mabaya huharibu"
# Hekima hukaa katika moyo
"hekima ipo katika namna ya kufikiri na kutenda"
# ufahamu
"mtu mwenye ufahamu"
# hujidhihirisha yeye mwenyewe
" huhakikisha kuwa watu wanamjua"
# yeye
neno "yeye" linawakilisha hekima