# hushushwa chini kwa matendo yake mabaya "matendo mabaya humsukuma" au " matendo mabaya huharibu" # Hekima hukaa katika moyo "hekima ipo katika namna ya kufikiri na kutenda" # ufahamu "mtu mwenye ufahamu" # hujidhihirisha yeye mwenyewe " huhakikisha kuwa watu wanamjua" # yeye neno "yeye" linawakilisha hekima