sw_tn/pro/12/07.md

16 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu waovu wametupwa
"Watu watawatupa watu waovu" au "watu watawaondoa watu wabaya kutoka kwenye mamlaka"
# nyumba
"familia" au "uzao"
# mtu husifiwa kwa namna ya wingi wa hekima yake
"watu watawasifu ambao wanahekima"
# yule anayefanya uchaguzi wa udanganyifu huchukiwa
"watu watamchukia yule ambaye kila wakati huwaza mambo mabaya" au " watu watamchukia yule ambaye huchukua mambo mazuri na kuyabadilisha kuwa mabaya"