# watu waovu wametupwa "Watu watawatupa watu waovu" au "watu watawaondoa watu wabaya kutoka kwenye mamlaka" # nyumba "familia" au "uzao" # mtu husifiwa kwa namna ya wingi wa hekima yake "watu watawasifu ambao wanahekima" # yule anayefanya uchaguzi wa udanganyifu huchukiwa "watu watamchukia yule ambaye kila wakati huwaza mambo mabaya" au " watu watamchukia yule ambaye huchukua mambo mazuri na kuyabadilisha kuwa mabaya"