sw_tn/pro/12/05.md

12 lines
290 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno ya watu wabaya ni uviziaji kwa ajili ya kuua
"mabo ya udanganyifu ambayo watu waovu huyasema ni kama mtu anayevizia kuua mtu kwa kushitukiza"
# maneno ya waadilifu huwahifadhi salama
"ushauri kutoka kwa mtu mwadilifu huwahifadhi watu salama"
# waadilifu
wenye haki, waaminifu