# maneno ya watu wabaya ni uviziaji kwa ajili ya kuua "mabo ya udanganyifu ambayo watu waovu huyasema ni kama mtu anayevizia kuua mtu kwa kushitukiza" # maneno ya waadilifu huwahifadhi salama "ushauri kutoka kwa mtu mwadilifu huwahifadhi watu salama" # waadilifu wenye haki, waaminifu